Quantcast
     

Natafuta Nyumba ya kupanga vyumba 2 na sebule

jamiiforums.com - 2013-03-15 16:44:17 - Similar - Report/Block

Wadau natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba 2,sebule, choo, jiko na parking angalau ya gari moja. Maeneo ya mbezi tank bovu, kijitonyama na makumbusho.

Nyumba Inapangishwa Mbezi Beach

jamiiforums.com - 2013-02-25 23:11:54 - Similar - Report/Block

Ni nyumba ya uani. Ina vyumba vinne. Viwili chini viwili juu. Vya juu ni self-contained. Vyumba vyote haviingiliani. Vimemaliziwa vizuri kwa tiles, sliding windows, juu kuna eneo la wazi ambalo nalo lina tiles. Mbele kuna nyumba kubwa ya mwenye nyumba. Mwenye nyumba si mkaazi wa dar es salaam. Huja mara chache sana mara nyingi anaishi nko...

Tetesi: Nyumba inapangishwa daresalaam

jamiiforums.com - 2013-04-23 14:55:09 - Similar - Report/Block

Nyumba inapangishwa daresalaam maeneo ya changanyikeni karibu na chuo kikuu cha ardhi ina vyumba 2 vya kulala, sebule, na jiko, na choo na ina umeme bei yake ni shilingi laki moja na hamsinikwa maelezo zaidi piga namba 0756914481. Pia kuna chumba kimoja nje ambacho ni single room nacho kinapangishwa kwa shilingi elfu hamsini kwa mwezi was...

Msaada tafadhali...!!

jamiiforums.com - 2013-03-14 10:55:08 - Similar - Report/Block

Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata mkopo wa kiasi cha shillingi milioni mia moja (100 Mil) kutoka kwa mtu binafsi ama taasisi yoyote kwa ajili ya kufufua, kuboresha na kuendeleza biashara zangu. Nina mdhamini (mama yangu) aliye tayari kunidhamini kwa ajili ya mkopo huu kwa kuweka dhamana nyumba mbili (moja ina vyumba vitatu, sitting...

Nyumba ya kununua Mbeya

jamiiforums.com - 2013-02-26 17:23:57 - Similar - Report/Block

WanaJF, Nahitaji nyumba ya kununua Mbeya mjini kwa mtu yeyote anayefahamu nyumba inayouzwa Mbeya tuwasiliane through PM.Iwe nyumba walau yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule n.k...

Nyumba inauzwa sh. 13 mil.

jamiiforums.com - 2013-02-20 14:14:19 - Similar - Report/Block

Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati nyumba, kuongeza ukubwa au kujenga nyingine hapo hapo. Kwa anayehitaji piga simu namba 0715 597591...

viwanja sqm 750 na nyumba ya kupangisha

jamiiforums.com - 2013-02-25 13:13:34 - Similar - Report/Block

Viwanja viwili ukubwa ni Sqm 750, Vipo mbweni karibu na nyumba za TBA. Bei ni Milioni 35 kwa kila kimoja. Nyumba inapangishwa ipo Mbweni TBA house. Vyumba 2 na master 1 jiko, sebule na stoo. Bei ni laki 3 . maelewano yapo. CONTACTS 0715353108 0756144060 mwamalekela@gmail.com...

Nyumba vyumba viwili self inahitajika

jamiiforums.com - 2013-05-22 17:41:24 - Similar - Report/Block

Maeneo kuanzia shekilango hadi kimara mwisho. Isizidi 3kms kutoka main road. iwe na parking walau ya gari moja. Ikiwa ya kujitegemea itafaa zaidi lakini si lazima sana. Hii ni serious sana wana jf. naomba wabezaji wanihurumie.Nijulishe kwa 0713690810. Ahsanteni.

Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

jamiiforums.com - 2013-02-26 10:59:05 - Similar - Report/Block

Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe ndogo sana,dining, jiko na stoo nyumba iwe maeneo yafuatayo Lugalo,Kihesa,Mwachan'ga,Mwang 'ingo.Budget yangu nyumba isizidi 190,000/= kwa mwezi iw...

Natafuta nyumba ya kufanyia Biashara Arusha

jamiiforums.com - 2012-09-11 20:38:07 - Similar - Report/Block

Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha. Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk) Nje kidogo ya mji sifa: Eneo liwe lenye Usalama Eneo lenye mzunguko (wanaojua biashara wanafaham) Karibu na shule/kanisa/taasis nk Anaweza kulipa kodi kati ya shs 50 na laki moja kwa mwezi kuli...

Hongera Prof. Tibaijuka kwa Kuwajali Senior Citizens na TCRA iwalazimishe Ma'TV Co. Kuwapa Bure Deco

jamiiforums.com - 2013-05-29 16:07:17 - Similar - Report/Block

der! Wasiojiweza, Wastaafu, Wasamehewa Kodi NHC Serikali imetangaza kuwasaheme kodi ya pango watu wasiojiweza wakiwemo wastaafu, walemavu na yatima wanaoishi kwenye nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), katika maeneo mbalimbali nchini. Uamuzi huo ulitangazwa jana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Ana Tibaiju...

Nauza kiwanja na nyumba

jamiiforums.com - 2013-02-28 10:07:10 - Similar - Report/Block

Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichojengwa nyumba ya vyumba viwili na sebule kinauzwa Chanika, kiko karibu na kituo cha Chanika mwisho yanapoanzia na kuishia mabasi yaendayo mjini, unaweza kufika kwa gari bila tatizo au kwa mguu kutoka kituo cha mabasi kwenye barabara ya lami. Umeme upo karibu sana kwenye nyumba za jirani bado kuvuta...

evolveStar Join

Nyumba nzima yapangishwa DSM, TMK.

jamiiforums.com - 2013-05-15 11:38:51 - Similar - Report/Block

Nyumba nzima yapangishwa. MAENEO: Temeke, Dar es salaam. Nyumba ipo mtaa wa Mashine ya Maji no5. Ni kama km 1 kutoka Mtoni Mtongani. Mtaa upo kati ya Buza na Mtongani. MAUMBILE: Nyumba ina sebule, vyumba vitano, sehemu ya jiko na choo cha ndani pamoja na store. Pia ina paking ya gari na sehemu za kulaza magari yenye geti. Ina umeme na ime...

Nyumba inauzwa bunju “b’’

jamiiforums.com - 2013-05-02 08:15:16 - Similar - Report/Block

Hajakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala jiko na sebure haijakamilika. Bei maelewano. Muhitaji tuwasiliane kupitia hizi namba 0717114409 or 0784225000. Sms ruksa Attached Thumbnails...

vyumba vinapangishwa

jamiiforums.com - 2013-04-09 17:05:59 - Similar - Report/Block

Chumba kimoja na sebule pamoja na maliwato ndani umeme na maji vipo.kibamba dar es salaam kodi laki moja kwa mwezi.karibuni...

Kama huna mpango wa kujenga nyumba yako soma kisa hiki hapa....tafadhali

jamiiforums.com - 2013-03-13 10:12:06 - Similar - Report/Block

Sie tunaotegemea nyumba za kupanga, kweli tuna kazi.Sehemu ninakopanga,mwezi uliopita mwen ye nyumba alimwozesha binti yake kwa bonge la harusi, tena mnajua tu harusi zetu zinazofanywa ndani ya miji yetu na si kwenye hosteli au ukumbini.Wageni zaidi ya 500 walifurika katika harusi hiyo tangu siku ya send Off, hadi siku ya harusi yenyewe.k...

Mapishi ya Maboga

jamiiforums.com - 2013-02-11 15:07:48 - Similar - Report/Block

Habari zenu wapenda wa hili Jukwaa. Naombeni mwenye kujua mapishi mbalimbali ya maboga anisaidie mie najua kuchemsha tu na maji kidogo pamoja na kutia chumvi kidogo. Naomba mwenye kujua. p'se...

Nyumba inauzwa mbagala kizuiani

jamiiforums.com - 2013-06-08 16:56:26 - Similar - Report/Block

Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ina hati miliki bei; tshs millioni 90 Dalali anaruhusiwa simu 0767266814...

Nahitaji mkopo..!!

jamiiforums.com - 2013-04-22 13:16:28 - Similar - Report/Block

Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nawiwa kuomba mkopo wa kiasi cha Mil 70 kwa interest isiyozidi 3% kwa mwezi , ninaweza kurejesha kwa kipindi cha miezi 12. Nitaweka nyumba ya vyumba 10 iliyopo Mvuti kama dhamana.

Shule ina darasa moja na mwalimu mmoja!

jamiiforums.com - 2013-03-21 15:08:11 - Similar - Report/Block

SHULE ya Msingi Machala iliyopo Kata ya Miono, wilayani Bagamoyo, Pwani, inakabiliwa na ukosefu wa vyumba vya madarasa, hali inayosababisha wanafunzi wa darasa la kwanza hadi la saba kusomea katika chumba kimoja. Pamoja na tatizo hilo, shule hiyo yenye wanafunzi 155, inahudumiwa na mwalimu mmoja tangu ilipoanzishwa miaka saba iliyopita.

Asilimia 72% ya waathirika wa ukimwi ni wanandoa. Bora machangudoa

jamiiforums.com - 2013-03-24 13:09:39 - Similar - Report/Block

Kwa mujibu wa takwimu za mashirika ya afya kwa afrika ukimwi umewaathiri zaidi wanandoa kuliko machangudoa. Si rahisi kwa mwanaume kutia changu bila condom. Bali ni rahisi mno kwa mwanaume kutia mke wa mtu bila condom. Na ni rahisi mno kwa mwanaume kutia demu wa ofisini, college, mtaani nk.bila condom. Ndiyo maana nawasisitizia wadau you...

Nyumba mpya inauzwa tabata kinyerezi

jamiiforums.com - 2013-02-25 23:38:16 - Similar - Report/Block

Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko, store na vyoo viwili na mabafu mawili. Kiwanja chake kina hati miliki na kina ukubwa wa mita za mraba 850. Bei 200 mil. Kuiona piga simu na 0755312233 au 0717114409. Attached Thumbnails...

Naitwa mume wangu

jamiiforums.com - 2013-02-28 09:38:54 - Similar - Report/Block

Jamaa mmoja alienda kufanya kazi kama house boy. Kwa mara ya kwanza alikutana na mama mwenye nyuma akamuuliza jina lake akamwambia naitwa mume wangu, alipokutana na binti wa mama mwenye nyumba akamwambia naitwa baba yangu na jioni baada ya baba mwenye nyumba kurudi akamwambia naitwa mimi. Basi siku moja mama mwenye nyumba aliwatuma house...

Tukifanya haya tutaboresha elimu yetu

jamiiforums.com - 2013-06-09 11:51:50 - Similar - Report/Block

Kama mdau mkubwa wa elimu, naona mambo haya yataboresha elimu yetu 1. Vyumba vya madarasa vya kutosha 2. Madawati ya kutosha (tuna misitu mingi sana) 3. Maabara oa vifaa vya kutosha 4. Vitabu vyenye sifa katika ngazi husika 5. Mtaala na sera yetu kama taifa kuhusu elimu 6. Viwanja vya michezo mashulen 7. Walimu wa kutosha na walio hitimu...

Dalali tapeli 0712-571827 anayeshirikiana na polisi

jamiiforums.com - 2013-02-21 10:48:01 - Similar - Report/Block

Ndugu wana Bodi heshima kwenu. Jamani katika kutafuta nyumba za kupanga tuwe makini sana haza maeneo haya ya Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni etc. Binafsi na familia yangu tumetapeliwa 4 milioni mwezi huu wa kwanza. Kuna dadali mmoja ambaye ni maarufu kwa jina la DAUDI namba ya simu 0712-571827, huyu anaishi mjini kwa ut...

Miki Vukicevic - Crna Goro Ljubav Ti Je Ime

tekstovi-pesama.com - 2013-04-16 13:32:24 - Similar - Report/Block

Ja znam sto je iskonska ljepota, sto je sreca beskrajna, sto je vrijednije odzivota, moja dusa moja krv i svaka moja pora, to je crna gora moja CRNA GORA. Zemljo moja ljubav ti je ime ko smjeh... Detaljnije pogledajte na sajtu...

Nyumba mbili kwenye kiwanja kimoja

jamiiforums.com - 2013-05-14 01:40:34 - Similar - Report/Block

Wakuu ninaomba kupewa maelezo kuhusu sheria na taratibu zinazo simamia suala la kujenga nyumba mbili katika kiwanja kimoja. Kwamfano mtu mwenye kiwanja cha mita 30 (30m) kwa mita 50 (50m), je ni sheria au taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ili kuweza kujenga nyumba mbili au tatu katika kiwanja hicho? Siulizii kuhusu kujenga servant quarter...

Tusiishie kuadhimisha Wiki ya Maji, watu wengi wapate maji

jamiiforums.com - 2013-03-21 02:12:13 - Similar - Report/Block

Maadhimisho ya Wiki ya Maji nchini kwa mwaka huu yalizinduliwa Machi 16 na yatafikia kilele chake Machi 22, mwaka huu. Wiki ya Maji imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka huku mambo mbalimbali yakijadiliwa zikiwamo changamoto hususani uhaba wa maji katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Moja ya changamoto ambazo zinaikumba nchi yetu, ni uhaba w...

News Alert: Ukuaji wa changanyikeni (squattes) dodoma

jamiiforums.com - 2013-02-21 12:36:34 - Similar - Report/Block

Inasikitisha kuona mji wa Dodoma unaendelea kukua bila mpangilio hata baada ya kubadilika kwa uongozi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) na pia Mkuu wa Mkoa, Wilaya na viongozi wengine. Tembelea vitongoji vinavyo zunguka Chuo chenye mandhari mazuri cha UDOM. Mfano Ngongona, Mkalama na kwendineko nyumba zinajengwa bila mpangili...

News Alert: Nyumba ya mbunge wa CCM ya choma moto

jamiiforums.com - 2013-04-24 17:47:26 - Similar - Report/Block

Nasikiliza BBC swahili mida hii na nimesikia nyumba ya mbunge wa CCM Liwale mkoani Lindi imechomwa moto na nyumba ya mwenyekiti wa CCM, Police wana miminika pande za liwale na hali sio shwari...

swala la jide komando latinga bungeni

jamiiforums.com - 2013-05-20 16:51:24 - Similar - Report/Block

Waziri Nchimbi ametakiwa kuwakutanisha lady jay dee na Ruge ili wamalize tofauti zao. Hayo yamesemwa na esther bulaya alipokua akichangia. amesema wote wanajenga nyumba moja kwanini wagombanie fito?. mia...

Kwa anayehitaji ramani ya nyumba

jamiiforums.com - 2013-05-03 01:16:06 - Similar - Report/Block

Ndugu watanzania wenzangu, mimi ni mbunifu majengo. Hivyo kwa yeyote mwenye uhitaji wa ramani ya nyumba kwa bei nafuu tuwasiliane 0 714155854...

vyumba vinapangishwa mwenge na kawe bei nafuu

jamiiforums.com - 2013-04-17 11:06:56 - Similar - Report/Block

vyumba vya kupanga vipo mwenge karibu sana na stendi kuu na vingine viko kawe kwa joseph, vipo vya sitini, sabini na themanini, kwa anaehitaji kuviona tuwasiliane kwa namba 0774797679, ni full tiles, maji ya kumwaga yapo, sihitaji dalali.

News Alert: nyumba inauzwa kisauni, zanzibar

jamiiforums.com - 2013-03-15 18:23:07 - Similar - Report/Block

nyumba inauzwa zanzibar,eneo la kisauni ukubwa wa kiwanja ni 23x40m . ina nafasi ya kujenga nyumba nyengine kubwa na kupaki magari zaidi ya kumi iko karibu na ofisi za ccm/cuf na msikiti wa kisauni. bei ni 65,000,000 na ni maelewano...kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu no 0774130715/0715130715 mr abuu....email abdul1805@gmail.com au a...

'Makahaba' walalamikia polisi

jamiiforums.com - 2013-04-23 03:08:43 - Similar - Report/Block

Kamanda wa polisi mkoani wa Kinondoni (RPC), Charles Kenyela. Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, limelalamikiwa kwa vitendo vya baadhi ya askari wake kuvamia vyumba vinavyodaiwa kupangwa na watu wanaodaiwa kuwa makahaba (madanguro) na kuwapora fedha, simu na vitu vingine vya thamani nyakati za usiku. Aidha, askari hao wamedaiwa k...

Vera Nesic - Ej Cula Jesam

tekstovi-pesama.com - 2013-06-06 10:00:58 - Similar - Report/Block

1.EJ CULA JESAM MOJ SE DRAGI ZENI 2X OJ ZORO MOJA EJ NEK SE ZENI MILO JE I MENI 2X OJ ZORO MOJA 2.EJ I JA CU MU U SVATOVE DOCI 2X OJ ZORO MOJA EJ LEPE CU MU DAROVE DONETI 2X OJ ZORO MOJA 3.U... Detaljnije pogledajte na sajtu...

CCM na utawala uliofitinika

jamiiforums.com - 2013-05-02 07:58:15 - Similar - Report/Block

BAADHI ya mafarisayo walipomtuhumu Bwana Yesu kwamba anatoa pepo kwa uwezo wa Mkuu wa pepo, yaani Belizebuli, aliwaambia kuwa utawala unaofitinika wenyewe kwa wenyewe hauwezi kusimama. Alitaka kumaanisha kwamba, haiwezekani mamlaka moja ikawa na matokeo yanayokinzana, halafu ikaendelea kuwa moja, yaani kuwa na pepo wanaowavuruga watu hala...

Upanuzi huu una manufaa?

jamiiforums.com - 2013-03-21 23:40:28 - Similar - Report/Block

Nikiwa napita njia ya moroco to mwenge naona mafundi wakivunja nyumba nzuri nusu pemben kuendelea naona zoezi endelevu tena kama vile mwenye nyumba kawaajiri wavunje;;tumeona sinza ziez hili bila markebisho yoyoite sasa nauliza huu upanuzi una manufaa ama tunavunja nyumba za watu kisa pugu aijaajaa aijajaaa...

Hoteli/Hosteli Inapangishwa Sakina,Arusha.

jamiiforums.com - 2013-04-09 16:50:37 - Similar - Report/Block

Hoteli mpya na ya kisasa inapangishwa kwa chumba kimoja kimoja au hata yote ina vyumba 31. Sifa za Hoteli/Hosteli ina eneo kubwa la parking,umeme,maji ya uhakika,electic fence,vyumba vyote ni full self cotained,Tv,balcony na ni sehemu tulivu sana,ni dakika 10 kwa gari kutoka katikati ya jiji la Arusha. Bei ya chumba kwa wiki ni 210,000/=...

Lugha ya kiswahi kugeuka kitanzi kikubwa kwa maskini

jamiiforums.com - 2013-04-19 16:31:36 - Similar - Report/Block

Ni wazo langu ,lugha ya kiswahili uwenda lengo lange lilikuwa zuri ila kwa sasa ni mwiba mkali kwa familia za maskini sababu katika nchi yetu karibu kila kitu kimeuzwa kwa wawekezaji,na hata mahospitali binafsi lugha inayo tumika hasa ni kingereza,siku moja nilikwenda aga khan ndugu doctor muhındi kıswahili ajui mbona ilikuwa kazi mpaka n...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.