Quantcast
     

Mwakyembe aanza kuwatimua aliowateua Bandarini

jamiiforums.com - 2013-03-18 15:10:45 - Similar - Report/Block

Kwa Mujibu wa Gazeti la Majira, Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe amemtimua katika nafasi yake Bibi Apolonia Mosha ambaye aliteuliwa na Mwakyembe mwenyewe katika wadhifa wa Meneja wa Bandari. Apolonia alichukua nafasi ya Cassian Ngamilo ambaye naye alitimuliwa na Mwakyembe mwaka jana pamoja na vigogo wenzake wa Bandari akiwemo Mkur...

Mwakyembe aidanganya kamati ya Bunge kuhusu Mapato TPA, Serukamba amuumbua!

jamiiforums.com - 2013-03-25 10:18:05 - Similar - Report/Block

Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia maswala ya Uchukuzi, kimeshangazwa na Uongo uliosemwa na Waziri wa Uchukuzi Dr Mwakyembe kuhusu mapato ya mamlaka ya Bandari Tanzania TPA mara baada ya kuanzisha timua timua yake katikati ya mwaka jana. Mwakyembe aliitangazia taifa kuwa tangu aanze timua timua, mapato ya Bandari yamefikia shiling...

Msaada wadau kutoa gari bandarini utaratibu wake!

jamiiforums.com - 2013-05-05 15:05:53 - Similar - Report/Block

Wadau nategemea kuagiza gari dogo mwenyewe Japan -Alteza.. nahofia utaratibu bandarini isije kawa ndo chenga nyiiingii....! Please nawategemea kwa msaada japo kujua ABC zao tuu.. clearance & registration ...

Je ni halali kwa katibu mkuu utumishi kuwachomeka watoto wake TPA & PSPF

jamiiforums.com - 2013-04-25 12:14:06 - Similar - Report/Block

Taarifa toka Tanzania Port Authority na PSPF zinasema kwamba tena za uhakika watanzania tutaendelea kuhangaikia matumbo ya watoto wa vigogo hapa nchini hebu angalia katibu mkuu utumishi jina nadhani wengi mnamfahamu kaweka watoto wake wote wawili bandarini na mtoto wake wa kike PSPF jamani hii haki kweli hebu. Mh. Mwakyembe pitia tena maf...

Dr. Mwakyembe watazame wafanyakazi TAZARA wanakufa!

jamiiforums.com - 2013-03-26 14:16:06 - Similar - Report/Block

takribani ni miezi minne sasa sisi watumishi wa tazara hatujalipwa mishahara yetu,tumejaribu kuishi kwa kukopa lakini bado hali ni tete na familia zimesambalatika,TUNAKUOMBA waziri mwenye dhamana na wizara hii(ndgu mwakyembe)tusaidie..

News Alert: Mwakyembe una hii ripoti?

jamiiforums.com - 2013-04-09 17:44:08 - Similar - Report/Block

Nimekutana na hii ripoti ya world bank sijui kama mwakyembe anayo, naomba mtu mwenye contacts zake am-fowardie ili afanyie kazi sehemu zenye udhaifu zilizo wazi kuziona. pia mimi nina swali la kizushi kwako mh.Mwakyembe, kwanini bandari ya Tanga isifufuliwe ikafanya kazi kama zamani?, kwanini container la kwenda Arusha, Moshi, Tanga n.k l...

Mwakyembe na mafisadi

jamiiforums.com - 2013-05-02 10:50:46 - Similar - Report/Block

Ndugu yetu mwakyembe ulichokuwa unakipigania mpaka unataka kupoteza maisha yako hatimaye umekipata,uliweza kupiga makelele bungeni kuhusu mafisadi na hata kuwaweka hadharani nanikweli watanzania tulikuamini sana tukijuwa tunamkombozi wa taifa letu, uliweza kusımama bungeni na kutetea hoja zako bila woga na pale ulipopewa uwazirı tukajuwa...

News Alert: Vitendo vya Ubakaji vyaongezeka Pemba

jamiiforums.com - 2013-03-15 10:38:45 - Similar - Report/Block

Habari hii ni kwa mujibu wa Gazeti la ''Zanzibar Leo''.... Katika hali ya kustaajabisha vitendo vya ubakaji vimeongezeka kwa kasi katika kisiwa cha Pemba. Kwa mujibu wa chanzo hicho cha habari kumekuwepo na mfululizo wa matukio ya ubakaji katika miezi ya karibuni kwa kiwango kinachotia hofu na kushangaza kiasi cha kuwatia hofu wananchi wa...

Sumaye awekeza Shilingi Milioni 931 Benki ya CRDB

jamiiforums.com - 2013-06-07 20:02:39 - Similar - Report/Block

Heshima mbele wana JF wote, Ni muda mrefu sana nimekua sipatikani hapa JF. Baadhi yetu wamekuwa mkini PM na kuniuliza Vipi TUMBIRI? Umeng'olewa meno na kucha au? Kimsingi nimebanwa na shule Wakuu. Lakini leo wakati napita pita huku na huku kutafuta literature za kusapoti Dissertation yangu nimegundua kitu kimoja. Waziri Mkuu Mstaafu Mh. F...

Josephine Mshumbusi na Slaa ni MALAGHAI WA MAPENZI!

jamiiforums.com - 2013-05-31 17:52:37 - Similar - Report/Block

hivi karibuni Mahakama ilihalalisha ndoa haramu kati ya dr slaa na Josephine Mshumbusi ..hii ni baada ya kutupilia mbali rufaa iliyo katwa na mume wa josephina mshumbusi ilo kwangu mimi naliita ndoa haramu kwani kwa wachristo hasa waroma tuna amini hii ndoa ni haramu na hakuna padre atakaye weza kuifungisha kwa mujibu wa sheria za kanisa.

Profesa ama Dokta wa akili maana yake nini?

jamiiforums.com - 2013-02-08 09:50:15 - Similar - Report/Block

Jaji Werema wakati anaanza kuhitimisha hoja ya mabadiliko ya sheria mbalimbali amewatambua Dr Mwakyembe na Profesa Juma kapuya, ni Dr na Prof wa akili......maana yake ni nini. Naomba mnijuze wakuu....

Harrison mwakyembe,hatuna umeme kwa siku ya tatu mfululizo

jamiiforums.com - 2013-03-20 19:33:57 - Similar - Report/Block

Salaam jf napenda kutumia jukwaa hili kumueleza waziri wa usafirishaji na uchukuzi kuwa kwa siu ya ytat mfululizo jimbo lake la ubunge kyela lipo gizani. Hakuna sughuli yoyote inayotegemea umeme inayoendelea katika wilaya hii. nawasilisha.

evolveStar Join

News Alert: Matokeo ya kidato cha nne kutoka muda wowote kuanzia sasa

jamiiforums.com - 2013-02-07 16:53:43 - Similar - Report/Block

Kwa mujibu wa baraza la mithiani kama mambo yataenda kama yalivyopangwa...kesho matokeo ya kidato cha nne yatatoka na kwa taarifa za awali wasichana wameng'ara zaidi ya wavulana wakati huo huo shule za private zimezidi kuwa juu kuliko zile za serikali tena za kata...!

Mwanafunzi wa mwaka wa pili udsm,akutwa amejinyonga.

jamiiforums.com - 2013-03-25 10:49:49 - Similar - Report/Block

Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anaechukua sheria,ameacha kikaratasi kinachosema ameaua sababu ya ugumu wa maisha.lakini kwa mujibu wa watu wake wa karibu wanasema,msela amepigwa chini na girlfriend wake ndo akaamua kuchukua uamuzi huo..mungu ailaze roho yake mahali panapo stahili.

RASIMU Ibara 132 (1) Maana Yake Nini Ana na Kificho Hawawezi Kugombea Tena U-spika 2015?

jamiiforums.com - 2013-06-05 04:48:45 - Similar - Report/Block

132. Mtu atastahili kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika endapo atakuwa na sifa zifuatazo- (a) angalau awe na elimu ya Chuo Kikuu kinachotambulika kwa mujibu wa sheria za nchi;...

Siri yavuja: Wachina waamrisha serikali isijenge bandari ya Tanga

jamiiforums.com - 2013-03-27 09:42:25 - Similar - Report/Block

Ule mradi mkubwa wa kujenga bandari ya Tanga umekufa rasmi juzi baada ya siri kuvuja kuwa serikali ya China imeamrisha serikali ya Tanzania kutojenga ile bandari mpaka miaka 40 ipite kwakuwa watakuwa wanaendesha bandari ya Bagamoyo. Hizi habari zimeshaanza kupata kasi ya ajabu na kama Mwakyembe, Nagu, Membe, Ikulu na Pinda wakiendelea kuk...

Uongozi wa veta wafuta trade test kinyemela kinyume cha sheria

jamiiforums.com - 2013-04-21 15:44:10 - Similar - Report/Block

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imefuta mitihani ya Trade Test kinyemela kinyume cha Sheria ya Bunge Na. 1 ya 1994 iliyounda Mamlaka hiyo. Mfumo wa Trade Test unatambuliwa kisheria kwa mujibu wa vifungu 6(2)(g)(ii) na13(2)(d) vya sheria hiyo. Uongozi wa VETA ulifanya maamuzi ya kuachana na Trade Test na badala yake mfum...

News Alert: Breaking news:damu inahitajika arusha haraka kuokoa maisha ya wahanga.

jamiiforums.com - 2013-05-05 15:02:51 - Similar - Report/Block

MODs naomba tafadhali msichanganye uzi na mwingine wowote uliomo humu ndani kutokana na Unyeti wake. Ni kwamba hali ni mbaya arusha, Hospitali zimezidiwa. Damu inahitajika. Pinda anasubiriwa. Mhe.Lema aanza kujitolea damu. Watanzania (hasa wakazi wa Arusha)wanaombwa kujitokeza kwa wingi kujitolea damu kuokoa maisha ya wenzao waliopata maj...

News Alert: Uhuru Aongoza Kura ya Maoni

jamiiforums.com - 2013-02-22 16:42:18 - Similar - Report/Block

Kwa mara ya kwanza Uhuru Kenyatta ameongoza kura ya maoni akiwa na 44.8% huku mshindani wake wa karibu akiwa na 44.4% kwa mujibu wa Synovate...

News Alert: Orodha nyingine ya wanaotakiwa kufanya marekebisho bodi ya mikopo kutolewa kwenye website

jamiiforums.com - 2012-09-19 07:54:16 - Similar - Report/Block

Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo kuna zaidi ya wanafunzi 600 ambao walistahili kupata mkopo ambao hata hivyo wanatakiwa kufanya marekebisho kwenye form zao za mambi ndani ya siku 14 kabla ya kupatiwa mikopo yao.Majina ya wanafunzi hao yatatolewa kwenye site ya bodi. Swali walikuwa wapi siku zote kuona kasoro hizo na badala yake wa...

Chadema wamtangazia vita Spika Makinda

jamiiforums.com - 2013-04-20 00:28:18 - Similar - Report/Block

Spika wa Bunge, Anna Makinda Dodoma. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema kuwa watakata rufaa katika Kamati ya Kanuni ya Bunge dhidi ya mwongozo wa Spika uliobariki adhabu ya kuwatimua kwa siku tano wabunge sita wa Chadema kwa kudharau mamlaka ya Spika. Akitoa mwongozo wake jana, Spika Anne Makinda alibariki...

Idd Pazi "Father" Atua Rasmi Chadema

jamiiforums.com - 2013-02-26 12:23:55 - Similar - Report/Block

Kipa namba moja wa zamani wa timu ya Simba na Taifa Stars - Idd Pazi "Father"; jana alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akisema ni haki yake kwa mujibu wa Katiba ya nchi, pia kupata fursa ya kupigania rasilimali za taifa kwa maslahi ya wengi. ... Chacha (Katibu wa Chadema Dar es Salaam) kwa upande wake alisema kitendo...

Juma Nkamia-Sheria inasumbuwa kwa wakubwa huko!!!

jamiiforums.com - 2013-05-20 16:53:42 - Similar - Report/Block

Hivi punde Juma Nkamia ametoa angalizo kuwa sheria ya habari inayotegemea kuwasilishwa bungeni kuwa imesumbuwa India,South Africa na huko kwa wakubwa. Je naomba ufafanuzihuko kwa wakubwa ni wapi kwa mujibu wa Juma Nkamia?...

Pesa ya kusafirisha mizigo ajira mpya!

jamiiforums.com - 2013-03-19 11:07:43 - Similar - Report/Block

Habari wana Jf, naomba ushauri kwa hili! Mimi ni mwajiriwa wa halmashauri tangu mwaka 2010. Moja ya madai ambayo niliandikia kudai ni pesa ya kusafirishia mizigo ambapo kwa mujibu wa standing order! Ilipaswa tusafiri na mzigo wa tani 3 ambapo kila km 1 ilipaswa tulipwe tsh 3000.lkn pamoja ufafanuzi huo tulipo andika barua Afisa utumishi a...

News Alert: TUNDULISSU:LWAKATARE hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka Serikali nani ALIHUSIKA

jamiiforums.com - 2013-03-18 17:21:39 - Similar - Report/Block

Wanajamvi heshima kwenu. Akizungumza na wanahabari nje ya mahakama amependa watanzania wafahamu mteja wao wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi Lwakatare HAJASHITAKIWA Kwa yaliyowasibu Ulimboka na A Kibanda je Serikali ituambie ni wakina nani wanahusika na Utekaji huo? Hivyo waliokuwa wanaeneza uvumi Lwakatare anahusika, Serikali haijaona uhus...

CHADEMA kutikisa Nzega leo

jamiiforums.com - 2013-05-04 09:21:04 - Similar - Report/Block

Ndugu Wanajamvi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo[CHADEMA] Kata ya Nzega Mjini kitakuwa na Mkutano Mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Parking Nzega leo tarehe 04/05/2013 kuanzia saa tisa alasari. Wazungumzaji wakuu watakuwa ni Mwenyekiti wa Wilaya ya Nzega OMARY OMARY,Mwenyekiti wa Wanawake Jimbo la Nzega MONICA NSARO,Mwenyekiti wa Kat...

Spika Makinda aboronga tena,ashindwa kumjibu Tundu Lissu

jamiiforums.com - 2013-05-03 17:41:30 - Similar - Report/Block

Kabla ya bunge kukaa kama kamati,MH.LISSU alisoma kanuni inayomtaka mbunge kumpa taarifa spika kama idadi ya wabunge haitoshi kufanya maamuzi, Lissu alimpa taarifa kuwa wabunge waliopo ni Mia thelathini na ... badala ya mia sabini na ... Spika badala ya kutoa majibu akang'aka kuwa watu wengine wanachelewesha mambo, akasema 'huwezi kuniamb...

Sumatra yakamata daladala 75 kwa kupandisha nauli

jamiiforums.com - 2013-04-12 04:35:55 - Similar - Report/Block

Dar es Salaam.Wakati nauli mpya zikianza kutumika leo huku Serikali ikizibariki, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchikavu (Sumatra) imekamata magari ya kubeba abiria (daladala) 75 katika operesheni maalum iliyoanza mwanzoni mwa wiki hii mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Uamuzi wa kukamata magari hayo umekuja baada ya kuwepo kwa...

Asilimia 72% ya waathirika wa ukimwi ni wanandoa. Bora machangudoa

jamiiforums.com - 2013-03-24 13:09:39 - Similar - Report/Block

Kwa mujibu wa takwimu za mashirika ya afya kwa afrika ukimwi umewaathiri zaidi wanandoa kuliko machangudoa. Si rahisi kwa mwanaume kutia changu bila condom. Bali ni rahisi mno kwa mwanaume kutia mke wa mtu bila condom. Na ni rahisi mno kwa mwanaume kutia demu wa ofisini, college, mtaani nk.bila condom. Ndiyo maana nawasisitizia wadau you...

Askari kumbuken watoto wenu

jamiiforums.com - 2013-03-24 12:19:27 - Similar - Report/Block

Hakika kesho mpango mzima wa maandamano unaonekana kujengewa mazingira na polisi kusambaratishwa. Maandamano ni haki ya kikatiba na ni haki ya raia. Nikija kwenye mada ni kwamba nimejaribu kufanya utafiti katika kota za polisi juu ya vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka jana ni balaa matokeo yao. Nenda polisi kurasin uone watoto wa maa...

News Alert: John Mnyika na Sakata La Maji Ubungo, Waziri Aanza Kuwajibika

jamiiforums.com - 2013-02-20 10:08:13 - Similar - Report/Block

BAADA YA HOJA BINAFSI NA KUSUDIO LA MAANDAMANO; WAZIRI WA MAJI NA MKUU WA WILAYA WAENDA GOBA NA MAENEO MENGINE KUFUATILIA MIRADI YA MAJI Posted: 19 Feb 2013 01:49 AM PST Nitafuatilia ahadi alizotoa Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe tarehe 17 Februari 2013 kuwa maji yataanza kutoka kata ya Goba tarehe 20 Februari 2013 na ziara ya Mkuu...

News Alert: JK amteua balozi Mohamedi Maharage kuwa Chief of Protocol

jamiiforums.com - 2013-03-25 13:44:35 - Similar - Report/Block

Kuna habari ndani ya kasri jeupe ikidokeza kuwa Rais JK amemteua balozi Mohamed Maharage (yeye anajiita Ma-beans) kuwa Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) baada ya aliyekuwepo (Itatiro) kuhusishwa na skendo ya kutaka kuiba Tshs. Bil. 3 kutoka kwenye mfuko wa safari za JK. Balozi Maharage ni balozi wa Tanzania katika Falme za nchi za Kiara...

Wanyamapori 15,000 wauawa nchini

jamiiforums.com - 2013-03-25 04:55:03 - Similar - Report/Block

KWA UFUPI “Ujangili huu wa wanyama ambao unaongezeka nchini unachochewa na mahitaji ya kitoweo na pia mahitaji ya kibiashara kama ya pembe za ndovu na faru duniani”alisema Mhifadhi Mkuu huyo. Moshi. Zaidi ya wanyamapori 15,220 wameuawa na majangili katika hifadhi mbalimbali zilizopo chini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) katika kip...

Mchakato wa kuchagua Papa kuanza leo

jamiiforums.com - 2013-03-04 02:01:55 - Similar - Report/Block

MAKARDINALI wa Kanisa Katoliki kutoka sehemu mbalimbali duniani, leo wanaanza maandalizi ya kumchagua mrithi wa Papa Benedict XVI, aliyeachia ngazi wiki kiliyopita. Kwa mujibu wa tovuti ya Vatican City, ilieleza kuwa mkutano mkuu wa Makardinali utaanza leo saa 3.00 asubuhi kwa saa za Vatican (Saa 6.00 mchana kwa saa za Tanzania) kwenye Uk...

Baadhi ya Nukuu za vijembe, mwongozo wa spika-Bungeni

jamiiforums.com - 2013-04-22 14:17:20 - Similar - Report/Block

Dodoma. Katika wiki mbili za mwanzo za Mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti, vijembe, matusi, misimamo na maneno ya kuudhi vilitawala bungeni. Baadhi ya kauli zilizotolewa na nyingi kuombewa mwongozo wa Spika ni kama ifuatavyo: “Tutaliheshimu Bunge kama taasisi huru, lakini si lilivyo sasa kama taasisi ya CCM,” Freeman Mbowe-Chadema, Kiongo...

Kushindwa kwa kamati ya fedha na utawala kutekeleza majukumu yake

jamiiforums.com - 2013-04-11 19:09:58 - Similar - Report/Block

HALIMASHAURIYA JIJI LA ARUSHA KATA YA LEVOLOSI KUM/22/016/10 5/4/2013 WAJUMBE WOTE WA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YAH. KUSHINDWA KWA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA KUTEKELEZAMAJUKUMU YAKE Somo tajwa hapo juu la husika Kamati hii imeshindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wakanuni 7(a) 2,3,7,10,11,15, Hivyo na toa wito kwa kamati hii kuvun...

Hakika mhe lowassa alionewa katika hili tukio kubwa la kihistoria lililotokea mwaka 2008.

jamiiforums.com - 2013-05-02 18:20:36 - Similar - Report/Block

''Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe ni mwanasheria, alikuwa anafundisha wanafunzi Chuo Kikuu. Moja ya vitu alivyokuwa anafundisha ni 'NATURAL JUSTICE'. Mheshimiwa Spika, wewe pia ni mwanasheria unafahamu suala la 'NATURAL JUSTICE'. Kwamba Kamati Teule imesikiliza watu wengine wote pamoja na wanaoita minong'ono ya mitaani. Wamesafiri mpaka...

Madiwani CCM wachapana ngumi

jamiiforums.com - 2013-03-01 12:55:04 - Similar - Report/Block

IJUMAA, MACHI 01, 2013 04:25 NA JOHN MADUHU, MWANZA JESHI la Polisi wilayani Kwimba mkoani Mwanza, linawashikilia madiwani wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kosa kuchapana ngumi wakati wa kikao cha baraza la madiwani jana. Madiwani hao na kata zao kwenye mabano ni Shija Malando (Hungumalwa)na Tabu Maganga (Mhande). Tukio hilo, amba...

Picha: RAIS KIKWETE AANZA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI KUWAIT LEO

jamiiforums.com - 2013-05-05 15:56:16 - Similar - Report/Block

Sunday, May 5, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuwait City leo Mei 5, 2013 tayari kuanza ziara rasmi ya siku mbili katika nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri Sabah Al-Ahmad A...

Mafunzo ya jkt ni ulimbukeni au ufisadi mwingine- tafadhali soma hii

jamiiforums.com - 2013-03-04 15:08:38 - Similar - Report/Block

Mwalimu Nyerere wakati anahutubia wanajeshi wapya wa Jamuhuri ya Tanzania, tarehe 1/9/1964 alisema...."TUNATAKA MAMBO MAKUBWA MATATU KTK JESHI LETU...(1) UAMINIFU (2)UTII (3)UHODARI. Hayo mambo matatu ndio lengo kuu la kuanzishwa kwa JWTZ. Baadaye ilianzishwa JKT lengo likiwa ni kuwafundisha vijana UKAKAMAVU, UZALENDO NA UTII. Utekelezaji...
dialogShowMessage!

Fill out the form you see below. Registration is free, fast and simple.
If you are already registered, sign in page login.


Web Site :
Required Field
First Name :
Required Field
Last Name :
Required Field
Email :
Required Field
Sex :
Required Field

evolveStar.com is free for ever !


evolveStar.com provides a search engine that allows you to gather information to write their own blog.


evolveStar.com enhances the sources displaying the logo of the site.


If you want to remove your site or you believe a site listed infringes copyright, please report it to: info@evolvestar.com


Specifies the subject copyright violation and the url of the page


evolveStar.com respecting the law DMCA (Digital Millennium Copyright Act) will immediately remove whatever its merits.


Next will be effectual and relevant checks.Who We Are Partner Advertising Contacts Privacy terms Help & FAQ

© Copyright 2010-2017 Fabrizio Fichera. All rights reserved.